Masaa 12 Kwenye Hoteli Mpya Zanzibar (Hutajutia Pesa Yako )
Imran JapeSafari hii nakuleta na wewe kwenye moja ya hoteli nzuri na za kifahari zilizopo ufukweni Visiwani Zanzibar Tembo Kiwengwa Resort. Kuanzia muundo wao mzuri wa kitamaduni, vyumba vya kisasa, Zaidi Ya Swimming Pool 3 pamoja na ukaribu wake na bahari. Kama umependa video hii, tafadhali gusa like, comm