"Niliacha shule niwe mfanyabishara"
BBC News SwahiliAliacha shule kidato cha 2, akaamua kufuata kile alichokipenda zaidi ubunifu wa ndani ya majengo. Kupitia kazi yake, ameonyesha kuwa mafanikio yanaweza kupatikana kwa kuendeleza vipaji na kufanya kwa bidii kile unachokiamini. Licha ya changamoto zake za kielimu, anasisitiza umuhimu wa elimu na kuwa