Jay Moe katika historia ya Bongo Hip Hop, mabadiliko ya mchezo na mtazamo wa Rap ya leo

Dozen Selection

DESCRIPTION: Katika episode hii maalum, tumeketi na mmoja wa nguzo za Bongo Hip Hop, Jay Moe. Tumepiga stori za kina kuhusu safari yake ya muziki, changamoto alizopitia, mafanikio, urithi anaouacha kwenye hip hop ya Tanzania, pamoja na maoni yake kuhusu kizazi cha sasa cha wasanii. Pia amezungumzia