BAHATI MUSANGA ERASTO: AMANI YA DRC ITAJENGWA NA RAIA WA CONGO, SI MATAIFA YA KIGENI
MTV1 WorldBahati Musanga Erasto ametembelea vijiji vya Kahusa na kutoa wito kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika kujenga amani ya kudumu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Akiwahutubia wakazi, amesema kuwa amani ya kweli itapatikana kupitia umoja, mshikamano, na juhudi za raia wa Congo wenyewe