Top Tenzi Za Rohoni Worship Music Mix 1 - Salama Rohoni | Tabibu | Huniongoza and More
Sounds of AfrikaKaribu usikilize Salama Rohoni, mkusanyiko wa Tenzi za Rohoni za zamani na za milele zinazogusa moyo, kuleta utulivu wa nafsi, na kumkaribisha Yesu katika kila hali ya maisha. Tenzi zilizojumuishwa kwenye mix hii 0:01 Yote Kwa yesu 8:13 Huniongoza Mwokozi 12:52 He leadeth Me 15:40 Ni Tabibu 23:21